Kwenye hii kasi ya Rais Magufuli speed haiko kwa Mawaziri tu hapana, speed ipo mpaka kwa Wabunge …acha ni kusogezee hii ya Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwenye ahadi zake za kuendelea kuwa hudumia wananchi wake, wapate huduma nzuri kwenye hospitali ya wilaya ya Meru.
Zile milioni zake 90 zilizokuwa zitumike kununua gari la Mbunge zimeanza kufanya kazi mtu wangu, tayari yupo china kaamua kuufata mzigo mwenye kabisa…kutana nae hapa kwenye maneno yake; – Mbunge Joshua Nassari
Bonyeza Play kumsikiliza Joshua Nassari
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE