Stori ilikamata sana headlines mwaka 2015, Nay wa Mitego na mzazi mwenzake Siwema kutoka Mwanza… mtoto wao ikawa stori kubwa, Nay aliapa hatojibizana na madai yote ya mitandaoni kuhusu mzazi mwenzake huyo japo watu wengi walimlaumu kwa maamuzi yake kumchukua mtoto kwa mama yake na kuanza kuishi nae akiwa mchanga sana.
Nay wa Mitego kasimulia kila kitu kwenye show ya ‘Leo Tena‘ ya Clouds FM.. Ukiplay hii sauti utasikia kila kitu, kuanzia simu za mashuhuda wa Mwanza na matukio ya mpenzi wake ikiwemo uhusiano na wanaume wengine, safari ya Airport Dar- Mwanza kufata mtoto wake, utata wa DNA na uhusiano wake na Shamsa na jinsi walivyoachana.
Nay kazungumzia pia kuhusu uhusiano wake wa sasa, kamtaja mtu wake? Majibu yako kwenye hii sauti mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.