Leo Jan 23 2016 Hospitali ya taifa Muhimbili kupitia taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda wanaendesha shughuli ya upimaji wa ugonjwa wa moyo bure kwa wananchi wa Dar, hapa nimeyakusanya baadhi ya matukio katika picha kutokea leaders Club ambapo tukio ndio linafanyika.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.