Ligi Kuu soka Tanzania bara kuendelea tena kesho Jumatano ya February 3 na Alhamisi ya February 4, kwa upande wa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Mgamgo JKT ya Tanga wanajiandaa kuikabili Simba na wamefanya mazoezi mchana wa February 3 uwanja wa Karume ili kujiweka sawa na kuweza kushinda au kupata walau point moja kama watapata sare. Hiizi ni pichaz za Mgambo JKT walivyojiandaa kuikabili Simba
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.