Mungu aliumba dunia na maajabu yake Mariusz Kedzierski ni mlemavu wa mikono aliyezaliwa na kipaji cha uchoraji, licha ya ulemavu aliokuwa nao, Mariusz Kedzierski alianza kuipenda sanaa ya uchoraji tangu akiwa na umri wa miaka 3, lakini alipofikia umri wa miaka 12 alisimama maswala ya uchoraji kutokana na matatizo ya kiafya.
Mwaka 2008 alianza tena sanaa ya uchoraji, kwa miaka saba iliyopita Kędzierski amefanikiwa kuchora picha 700 na kutumia masaa 15,000. Mariusz Kedzierski hutumia muda wa masaa 20 kukamilisha mchoro wa picha moja. Kwa sasa Mariusz Kedzierski ana umri wa miaka 23.
Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz 7 alizochora Mariusz Kedzierski
Video ya kazi zake mtu wangu
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.