#RaisMagufuliFeb13 'Tuna nia ya dhati ya kuibadilisha Tanzania, katika hili lazima kuna watu wataguswa ila ni wachache' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Tanzania hii haitakiwi kuwa masikini, Tanzania ina kila kitu, haitakiwi kuwa na watu wanakosa maji' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Wanafunzi hawatakiwi kukaa chini kwa kukosa madawati, ukienda hospitali watu wanalala kitanda kimoja' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Nataka mjue kuwa ni watu wachache sana ambao wametufikisha hapa, tutawashughulikia kwa faida yenu' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Serikali hii kuna mambo mengi sana ya hovyo na ya ajabu yanafanyika' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kuna watu kwao pesa siyo tatizo, na bahati iliyombaya pesa zenyewe hawajazipata kwa njia halali' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kule Bariadi barabara ya Kilomita 4.5 imetengenezwa kwa Bilioni 9.2. Mimi ningetengeza Km 22' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Yaani Kilomita 1 inatengenezwa kwa Bilioni 2 na Mkurugenzi, Mhandisi na Viongozi wote wapo' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Juzi Waziri Mkuu amekwenda bandarini amekutana na mambo ya ajabu, watu wanatorosha mafuta' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Nimekwenda Muhimbili pia nimekuta mambo ya hovyo, akina mama watano wanalala chini kwenye godoro 1' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Muhimbili kuna jengo moja la ghorofa 3 linajengwa kwa miaka 20 na halijaisha,hii ni rekodi ya dunia' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Hayo yote yanaendelea na viongozi wote wapo, mimi nilipokuwa Waziri nilifukuza makandarasi 3000 ' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Akina mama niliokuta wamelala chin wahamishiwe lile jengo lingine na liwekwe vitanda ndani ya siku 2' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Tunaomba mtuvumilie tutumbue haya majipu na tutayatumbua kwelikweli hata yakihama tutayatumbua tu' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb 13 'Kuna watu wanakejeli wanasema eti ni nguvu ya soda, hata soda ukiweka gongo unalewa, watalewa tu' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Barabara za Dsm, tumeshatenga Bil.200 kujenga daraja kutoka Coco Beach hadi Aghakan kupitia baharini' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kama ndege 1 Airbus ni kama Bil. 140, na makusanyo yetu ni matrilioni kwanini tusitenge kila mwezi' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Hili jambo la kuchangia elimu Makonda limekupa heshima, kwahiyo ukipanda cheo watu wasikuonee wivu' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Natoa wito kwamba michango ya shule ni hiari, asilazimishwe mtu kutoa mchango, michango si lazima' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Sijateua ma RC na ma DC makusudi ili nijue ni nani wanatosha kwenye nafasi hizo' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Inawezekana mnatupima sisi katika siku 100, lakini na ninyi mnasahau mmefanya nini kwa hizo siku 100' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Tarehe ya kuteua ma RC na ma DC hamtaijua lakini Makonda angalau wewe umeshajihakikishia utakuwemo' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kwa DSM nawahakikishia kuwa Dar es salaam itabadilika ikiwa ni pamoja na daraja la Kigamboni' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kuhusu uchaguzi wa Zanzibar ZEC ina uhuru wa kuamua mambo yake, hakuna mtu anaweza kuingilia' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Kama kuna tafsiri tofauti si uende mahakani, Mahakama iko unataka mimi niingilie, siingilii..' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Siingilii, nitaendele kukaa kimya, ukileta fyokofyoko kazi yangu ni kuhakikisha usalama unakuwepo ' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Vyombo vya usalama viko imara kila kona, vitamshughulikia yeyote atakayechokoza' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
#RaisMagufuliFeb13 'Mimi ni mtanzania nimechaguliwa na Watanzania, nitafanya kazi Tanzania, nitafia TZ, nitazikwa TZ' #MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo) February 13, 2016
Unaweza kuisikiliza hotuba yote hapa chini..
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE