Baada ya hedlines za muda mrefu kuhusu kugundulika kwa gesi Mtwara, kumbe utafiti ulikuwa unaendelea maeneo mengine ya Tanzania kuweza kubaini kama kuna sehemu nyingine yenye gesi. Leo Feb 24 Serikali imekuja na habari mpya kwa Watanzania kupitia kwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo kwamba Gesi imegunduliwa na wawekezaji Ruvu mkoani Pwani.‘kule Ruvu wamegundua gesi na tutaitumia ni vizuri kwa huko Ruvu tutaona tutaitumiaje’
Sekunde 10 za Waziri wa Nishati Na Madini Prof. Sospeter Muhongo akizungumzia ugunduzi Huo
#MillardAyoUPDATES Serikali kupitia wawekezaji wamegundua gesi Ruvu Mkoani Pwani pic.twitter.com/YgnheZ70vX
— millard ayo (@millardayo) February 24, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE