Baada ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kutaka ifikapo mwezi June 2016 wanafunzi wote wawe wanakaa kwenye madawati. Manispaa ya Temeke imeweka zaidi ya BILIONI MOJA (1) katika utengenezaji wa madawati na ujenzi wa madarasa kwa shule za msingi.
millardayo.com imepata nafasi ya kuzungumza na Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Chaurembo, ambapo ameyazungumza haya……….>>> ‘kwenye fedha zetu tulizokuwa tumezipangia matumizi mengine katika bajeti hii tunayomalizia tumetenga bilioni 1.7 tutakazozipeleka kwenye shule za msingi kwa ajili ya madawati na kujenga madarasa‘
ULIIKOSA YA RAIS MAGUFULI KUTOA MASAA 360 KWA WANAOLIPWA MISHAHARA FEKI? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE