Mix

Kiongozi wa ACT- Wazalendo alivyojitangaza kuachia uongozi wake mbele ya waandishi wa habari..

on

April 21, 2016 chama cha ACT – Wazalendo kilifanya mkutano mbele ya waandishi wa habari na kuzungumza kuhusu kung’atuka kwa Katibu Mkuu wao aitwae Samson Mwigamba ambaye anatarajia kwenda Kenya kimasomo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama hicho Mama Anna Elisha Mghwira alisema..>>>Katibu mkuu wa chama cha ACTWazalendo ndugu Samson Mwigamba ataanza masomo ya Shahada ya Uzamili ya Biashara (MBA) katika chuo Kikuu cha Kenyatta kuanzia mwezi Mei 2016 kufuatia hatua hii ameomba aruhusiwe kung’atuka nafasi yake ya katibu Mkuu wa chama’ Anna Elisha Mghwira

3X6A4258

.Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Mama Anna Elisha Mghwira (Katikati) ni Katibu Mkuu wa chama hicho Samson Mwigamba ambaye ameng’atuka katika nafasi yake ya uongozi kuelekea masomoni

Kufuatia hatua ya kung’atuka kwa katibu Mkuu, kamati ya Uongozi imeiagiza kamati ya Chama ya Mafunzo na Uchaguzi ianze mchakato wa kumpata katibu Mkuu mpya kwa kuzingatia katiba na kanuni za uchaguzi wa chamaAnna Elisha Mghwira

KAMA ULIMISS YA RC MAKONDA KUWAONDOA WAKURUGENZI WANAOTUMIA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments