Baada ya Jumatano ya April 20 2016 kuzama kwa gari ndogo aina ya Hiace ikiwa na watu wa wawili katika bahari ya Hindi eneo la Kigamboni, nimekutana na video fupi ikionesha namna kikosi cha uokoaji kilivyotoa Hiace hiyo baharini.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri usiku wa siku ambayo Daraja lilizinduliwa April 19 2016 ilitolewa taarifa ya gari moja aina Toyota Hiace yenye namba za usajili T271 CRG kuserereka kutoka kwenye pantoni na kuzama baharini. Pantoni hilo lilikuwa likivuka kutoka Posta kuelekea Kigamboni Alfajiri ya April 20 2016.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
VIDEO YA TAARIFA YA GARI ILIYOZAMA BAHARINI DAR ES SALAAM APRIL 20 2016