Imeripotiwa na mitandao mbalimbali ya Afrika kwamba Mwimbaji huyu mkongwe Papa Wemba kutokea Congo DRC amefariki muda mfupi baada ya kuanguka ghalfa akiwa anatumbuiza jukwaani nchini Ivory Coast kwenye tamasha aliloalikwa kutumbuiza.
Habari hii ni kutoka kwenye moja ya mitandao ya kuaminika nchini Congo DRC lakini millardayo.com inaendelea kufatilia kwa karibu kujua ukweli na mengine zaidi ya Papa Wemba ambaye inaripotiwa amefariki akiwa na umri wa miaka 66.
Hii video fupi hapa chini inaonyesha sekunde za mwisho akiwa jukwaani na kuanguka
Victime d’un malaise, #PapaWEMBA s’est évanoui en pleine prestation à #Abidjan.https://t.co/FdJ0ur7Drw #FEMUA9 pic.twitter.com/hAEtKdusxm
— ICIBRAZZA (@ICIBrazza) April 24, 2016
ULIIKOSA HII? NI MIAKA MINNE TOKA KIFO CHA KANUMBA, HAYA NI MAHOJIANO NA MAMA YAKE MZAZI