April 01 2016 aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya, Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi wa benki ya Stanibic tawi la Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 1996 Shose Sinare walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kosa la utakatishaji fedha.
Kesi hiyo imeendelea April 27 2016 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Mahakama imefutilia mbali shitaka la utakatishaji fedha lililokuwa linawakabili washitakiwa wote hivyo washitakiwa wamebaki na mashitaka saba.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB
ULIIKOSA YA KAMISHINA MKUU WA ZAMANI WA TRA NA WENZAKE ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI.