May 3 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuwasilisha bajeti yake ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Waziri husika akiwa ni Mwigulu Nchemba ambaye ndio alipata nafasi ya kuwasilisha bajeti hiyo.
Wabunge waliopewa nafasi ya kuchangia baada ya bajeti kuwasilishwa ni pamoja na Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara aliyesema ‘Mheshimiwa Mwenyekiti kama kanuni zinaruhusu kuna majipu pale nje uyaruhusu yaingie ndani na uyaulize kila Mbunge ni mahali gani yamuote mwilini mwake, hakuna atakayekubali yamuote sehemu za siri‘
‘Rais ametumbua watumishi hewa ila Wizara ya Kilimo ina watumishi hewa na wakulima hewa hao inabidi uwatumbue Mheshimiwa Mwigulu Nchemba‘
Kila kitu alichosema Kangi Lugola kipo hapa chini kwenye hii video
ULIIKOSA HII YA WAZIRI NCHEMBA KAONGEA BUNGENI KUHUSU KIWANGO HIKI CHA FEDHA?
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE