Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kupambana na Ukimwi nchini (TACAIDS) imemteua Staa wa kugani mashairi bongo Mrisho Mpoto kuwa balozi wa kampeni ya Kili Challenge.
Kili Challenge ni Kampeni inayolenga kukusanya fedha kwa ajili ya kutunisha mfuko wa mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI. Mpoto ameteuliwa kuwakilisha na kuitangaza kampeni hii ili kusaidiana na serikali pamoja na wadau mbalimbali ndani na nje ya Tanzania.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA YA MRISHO MPOTO ALIPOSIMULIA JINSI JK ALIVYOHISI WIMBO WA ‘MJOMBA’ UNAMSEMA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI