Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
May 24 2016 tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine, moja ya habari kubwa ni kutoka Gazeti la Majira yenye kichwa cha Habari ‘Kitwanga atetewa jimboni, waonya, wapiga kura wataka aombwe radhi‘
Kwa mujibu wa Gazeti la Majira limesema Madiwani na wananchi hao wamedai video hiyo imechezwa kitaalamu na watu wa Teknolojia ya Mawasiliano ‘IT’ ili kufanikisha lengo la kuonesha kuwa mbunge wao alikuwa amelewa bungeni.
Hivyo wameliomba bunge lifanye uchunguzi na kubaini wale wote waliosambaza video inayoonesha Kitwanga akiwa anaongea akionekana amelewa wakati kiuhalisia hakulewa, bali alijibu maswali yote vizuri
#MAJIRA Kitwanga atetewa Jimboni, wapiga kura wataka aombwe radhi kwa madai kwamba amedhalilishwa pic.twitter.com/fSdcHHn61h
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#NIPASHE Mwenyekiti wa mtaa, Buhongwa Mwanza apigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akisuluhisha mgogoro wa ndoa pic.twitter.com/BwjnX8WvAR
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#MWANANCHI Polisi Z'bar kumhoji Maalim Seif kuhusu masuala mbalimbali ambayo hata hivyo, hayakuwekwa wazi pic.twitter.com/a2uoF4lKmd
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#MWANANCHI Serikali yajibu upya swali lililomponza Kitwanga kutokana na maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa pic.twitter.com/czHdnTvLcp
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#MWANANCHI JUVICUF imeitaka Serikali kubeba mzigo wa kushindwa kuwajibika kwa kuruhusu uingizwaji wa simu feki pic.twitter.com/SEXBR7TEpN
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#HabariLEO Wabunge wameitaka serikali kuweka mkazo ktk kuhakikisha ardhi yote nchini inapimwa pic.twitter.com/Bq2hYZzp1y
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#RaiaTANZANIA Mtu mmoja Kenya apigwa risasi na kufariki baada ya polisi wa kutuliza ghasia kutumia risasi za moto pic.twitter.com/5nlNJId6Yp
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#UHURU Wabunge wa zamani wadaiwa kuhodhi nyumba za NHC na kuzipangisha kwa watu wengine kinyume cha utaratibu pic.twitter.com/v6t3rBKjPd
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#MTANZANIA Baadhi ya wabunge wameshangazwa na kauli ya Spika kuhusu kusudio la kufunga mashine maalum kuwapima ulevi pic.twitter.com/UjKluyOPOu
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
#MWANANCHI RC Makonda, Waziri Simbachawene wahani msiba wa Kabwe, walifika kwa nyakati tofauti pic.twitter.com/3uiDxzj50h
— millardayo (@millardayo) May 24, 2016
ULIIKOSA VIDEO YA ALIYEKUWA WAZIRI KITWANGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI NA KUDAIWA ALILEWA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE