May 24 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma, kazi ilikuwa ni Wizara ya Utalii na Maliasili kuwasilisha hotuba yake ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ambayo imeomba kutengewa jumla ya Sh. 135,797,787,000.
Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo, na hapa nakukutanisha na Mbunge wa Viti Maalum CCM Catherine Magige ambaye yeye anaiomba Serikali kutoa adhabu ya kifungo cha maisha kwa Wabunge wanaohusika kijihusisha na Ujangili.
ULIIKOSA HII? WIZARA YA MALIASILI NA UTALII IMEOMBA KUPITISHIWA BILIONI 135 KAMA BAJETI YAKE IJAYO
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE