Duniani

PICHA 4: Teknolojia inavyochukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba, Swimming pool juu yake

on

Teknolojia kila siku inazidi kuchukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba!!! halafu bwawa la kuogelea ndio linakuwa kama paa vile, stori kutoka kutoka CNN kuhusu nyumba hiyo ambayo itakuwa ya kwanza Duniani kujengwa ndani ya mwamba  huko Lebanon,imeingia kwenye headlines ambapo ramani yake ilitengenezwa mwaka 2015.

Nyumba hiyo inayosemekana kujengewa bwawa la kuogelea juu na kuwekea kioo kwa chini kama dari la nyumba hiyo iliyo ndani ya mwamba, bwawa lake la kuogelea linatajwa kuwa na ukubwa mara mbili zaidi ya nyumba yenyewe. Lebanon kujivunia na mpango wa nyumba hiyo.

nyumba

nyumba1 nyumba2

house

ULIKOSA MUONEKANO HUU WA BARABARA ZA K/KOO BAADA YA WAMACHINGA KUONDOLEWA?  UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI>>>>…………. 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments