Ni Mei 31, 2016 ambapo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wameingia kwenye headlines za kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika matumizi yao ya kila siku, sasa AyoTV imefanikiwa kumpata Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Rwekaza Mukandala kueleza taratibu zinazochukuliwa baada ya mgomo huo kutokea.
‘Kulikuwa na uchelewezashaji kidogo lakini mpaka sasa tunavyozungumza ni kwamba tumepata ushirikiano mkubwa kutoka mamlaka husika huko Serikalini kwahiyo hayo malipo tayari yameshaizinishwa na bodi ya mkopo imeshapeleka fedha hizo katika mabenki na mategemeo yetu muda si mrefu hao wanafunzi wanataanza kupata fedha zao‘- Prof. Rwekaza Mukandala
ULIIKOSA HII? ALICHOKIONGEA MBUNGE JOSHUA NASSARI BAADA YA BUNGE KUKATAA KUJADILI WANAFUNZI KUFUKUZWA CHUO
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE