Mwigizaji Aunty Ezekiel amesherekea mwaka mmoja wa kuzaliwa kwa mtoto wake Cookie, kwenye interview hii Aunty Ezekiel kazungumzia jinsi Dancer wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo alivyo na nafasi kubwa kwenye maisha yake tofauti na wanaume wengine aliowahi kuwa nao kipindi cha nyuma.
>>>’Mose Iyobo ana nafasi kubwa kuliko wanaume niliokuwa nao kwa sababu wale walikua wananipa tu pesa hawajali ila mose ananijali na amenipa thamani kubwa kama mwanamke na zito zaidi ni baada ya kunipa Cookie ndio amenimaliza kabisa‘
Ukitaka kupata full story bonyeza play kwenye hii video hapa chini
ULIKOSA KUONA VANESSA MDEE KAONGEA KUHUSU BEEF NA SHILOLE?UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE