Wakati mjadala wa kuijadili bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2917 mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe amesimama bungeni kusisitiza kama serikali imeamua kuwakata kodi wabunge basi ihakikishe inatekeleza hilo kwa viongozi wote bila kubagua.
‘Serikali imetuwekea kamtego kutaka kutuchonganisha na wananchi, kwanini Waziri kamuacha Rais, Waziri mkuu, wakuu wa mikoa na wilaya? Mimi nasema wabunge tulipe kodi, lakini wawekeni wote walipe‘ –Hussen Bashe
ULIIKOSA HII? ACHA WABUNGE WALIVYOCHEKA LAKINI GOODLUCK MLINGA KAFIKISHA UJUMBE WAKE BUNGENI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE