Ishu ya uhaba wa sukari imekuwa kwenye headlines kwa muda sasa, millardayo.com imezungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ambapo ameeleza hali ya uzalishaji wa sukari kwenye viwanda vya ndani ilivyo kwa sasa………….
>>>’Hali ya uzalishaji wa viwanda, Kagera Sugar ilianza May 18 na ilianza kuzalisha tani 150 kwa siku ambapo imeongezeka na imeshafikia tani 200 kwa siku, Kilombero Sugar imeshaanza inazalisha tani 230 kwa siku na tunategemea itafikia tani 500 kwa siku’
>>>’TPC inategemewa kuanza June 18 kwa sababu ndio inaanza inategemewa kuzalisha tani 150 kwa siku, itakapokuwa imestablize zoezi la kuchuka kama siku 15 itakuwa inazalisha tani 400 kwa siku na ifikapo mwisho wa mwezi wa saba Mtibwa itaanza kazi’.
Kusikiliza Bonyeza Play hapa chini
ULIKOSA HAYA YA KUFUATA ASKARI AKITAKA KUKUKAMATA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE