Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve ni moja kati ya wabunge waliopata nafasi ya kuchangia katika bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Katika mambo ambayo bado hajaridhika nayo ni pamoja na suala la huduma za afya zilizopo sasa.
‘Huduma za afya na maji bado ni changamoto, hospitalini bado kuna changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama. Vifo vya wakinamama na watoto bado vinaendelea, sasa hivi watu 398 bado wanaendelea kupoteza maisha ‘ –Rose Tweve
MBUNGE BASHUNGWA KAOMBA KUJENGWA KWA UWANJA ALIOPIGIA PUSH UP RAIS MAGUFULI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE