Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Habari Leo yenye kichwa cha habari ‘Maofisa utumishi 1,500 hatarini kutumbuliwa’.
#HabariLEO Serikali kusimamisha maofisa utumishi wote 1500 nchi nzima waliohusika kutengeneza watumishi hewa pic.twitter.com/zabXsxT2pb
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
Gazeti hilo limeripoti kuwa Serikali imeagiza wote waliotengeneza watumishi hewa wafunguliwe mashitaka mahakamani huku ikionya kuwa iko tayari kusimamisha kazi maofisa utumishi wote nchi nzima wanaofikia 1,500 katika sakata hilo.
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais, utumishi na utawala bora, Angella Kairuki alisema hayo jana wakati alipokuwa akichangia mjadala wa hotuba ya mpango wa maendeleoo na bajeti ya Serikali kwa mwaka 2016/2017 bungeni mjini Dodoma.
Waziri Kairuki amesema tayari Serikali imeshatoa agizo hilo la kuwashitaki maofisa wote waliotengeneza watumishi hewa na ikibidi iko tayari kuwasimamisha kazi maofisa utumishi 1,500 waliofundishwa kazi hiyo na Serikali.
Kwa mujibu wa Waziri Kairuki mpaka mwishoni mwa May Serikali ilikuwa imebaini uwepo wa watumishi hewa 12,246 waliokuwa wakitafuna bilioni 25.06 kila mwezi.
Unaweza kuzipitia hapa habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo June 21 2016
#NIPASHE Rais Magufuli asema ataongoza kuwa mfano kwa mafao yake kukatwa kodi stahiki pic.twitter.com/nQizTqilGe
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#NIPASHE Askofu Gwajima ataka Jeshi la polisi kusubiri arudi nchini ndipo aitikie wito wao pic.twitter.com/Clo1DYA69Q
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#NIPASHE Wateja wameyakimbia maduka ya simu za mkononi Kariakoo kwa hofu ya kununua simu zisizo halisi pic.twitter.com/prLgx2bYPJ
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#NIPASHE Wabunge UKAWA waapa kutowasalimia wa CCM na kufanya mikutano ya hadhara bila kuhofia amri ya mtu yeyote pic.twitter.com/4jY3lUNKSV
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MWANANCHI Mtanzania anashikiliwa kwa makosa ya jinai ya jiji la Dubai kwa kumdhalilisha mhudumu kike wa Emirates pic.twitter.com/IRV1Q4yRHU
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MWANANCHI Dawa zote Muhimbili sasa ni kwa malipo, wagonjwa wa msamaha watalipa 10% ya gharama halisi pic.twitter.com/yUZul6wtrU
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MWANANCHI Watoto 10 hufa K'njaro kila siku na wengine kujeruhiwa kwa ajali zinazosababishwa na bodaboda pic.twitter.com/1IT2SUMRyi
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MWANANCHI Mahakama Iringa jana iliahirisha kesi ya mauaji ya Mwangosi inayomkabili askari wa FFU hadi leo pic.twitter.com/lMMT4e0bSf
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#HabariLEO Vigogo walionunua nyumba za serikali na kutomaliza kulipa madeni yao wameanza kuondolewa kwa nguvu pic.twitter.com/QFYCHwG1wJ
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#JamboLEO Bajeti yapitishwa kwa kura 251 kati ya wabunge 389 waliopaswa kupiga kura kuikubali au kuikataa pic.twitter.com/x6u4CNf76Y
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#RaiaTANZANIA Baada ya kuanza kwa matumizi ya Kadi za UDA-RT baadhi ya vituo abiria wamekosa huduma hiyo pic.twitter.com/l7B6HT5Fes
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#RaiaTANZANIA Serikali imesema uvunaji maji ya mvua kwenye bati lililopakwa rangi hauna madhara baada ya siku 90 pic.twitter.com/FY5OFFbmBZ
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#TanzaniaDAIMA Wizara ya Elimu kutangaza wanaoingia kidato cha tano na vyuo vya ualimu wiki hii pic.twitter.com/fEYGj8CCZ7
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#TanzaniaDAIMA Serikali imekiri kushindwa kusimamia bei elekezi ya sukari ktk kipindi hiki cha uhaba pic.twitter.com/Rm6eI1etpk
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MAJIRA CUF Temeke imesema Twaha Taslima ni mzigo ktk chama, wamtaka aache kumbeza Prof Lipumba pic.twitter.com/z3t1SowvAK
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MTANZANIA Wizara ya Afya imesema malaria bado ni tishio nchini kwa watoto na wananchi kwa ujumla pic.twitter.com/Kcumnni3Wp
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
#MTANZANIA Ukuaji wa pato la ndani 'GDP' katika nchi za bara la Afrika umekabiliwa na changamoto ya uzalishaji duni pic.twitter.com/lNR6d4N3BT
— millardayo (@millardayo) June 21, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 21 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE