Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es salaam imeboresha huduma za chakula kwa wagonjwa wote watakaolazwa kuanzia Julai Mosi, mwaka huu ili kuwaondolea ndugu wa wagonjwa usumbufu na gharama za usafiri wakati wanapokwenda kuwaona ndugu zao waliolazwa mara tatu kwa siku katika hospitali hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Afisa Habari na Mawasiliano kutoka hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel Aligaesha amesema kuwa Mgonjwa atachangia Tsh 50,000, ambapo 10,000 ni ya consultation, 10,000 ya kulazwa na 30,000 ya chakula. Wastani wa muda wa kukaa wodini umekadiriwa kwa kiwango cha chini ni siku tano, mgonjwa atapewa kifungua kichwa, chakula cha mchana na cha jioni.
Unaweza kubonyeza play hapa chini kusikiliza
ULIKOSA HII YA MUHIMBILI KUTOA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA DAWA KUTOLEWA MALIPO? BONYEZA PLAY HAPA CHINI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB INSTAGRAM YOUTUBE