Mwaka 1995 serikali ilifanya uthamini kwa wananchi wa kata ya kipawa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege Dar es salaam ambapo baadhi ya wananchi walilipwa fidia lakini kuna baadhi ambao hawakulipwa. Mbunge wa Segerea Bonnah Kaluwa alisimama bungeni kuhoji sababu za serikali kushindwa kukamilisha malipo hayo.
Bonna alisema…>>>’Je, serikali imejipanga vipi kuwalipa wananchi hao ambao hawajalipwa ili waweze kupisha upanuzi wa uwanja?
Majibu yametolewa na Naibu Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Edwin Ngonyan
ISIKUPITE HII YA WAZIRI MWIJAGE AKIWAJIBU WANAOSEMA KAPEWA BAJETI NDOGO
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE