July 08 2016 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amepokea orodha kamili ya bodi ya wadhamini na taarifa za utambuzi wa taasisi mbalimbali mahali zilipo kutoka kwa wakala wa usajili, ufilisi na udhamini ‘RITA’.
Pamoja na hayo Waziri Mwakyembe ameridhia kufutwa kwa bodi za wadhamini na taasisi mbalimbali zisizokuwa za kiserikali 680 ambazo hazioneshi uhai na haziko kwa mujibu wa sheria. Aidha Waziri Mwakyembe ameruhusu RITA kuzisajili upya wadhamini wa asasi, na taasisi mbalimbali.
Unaweza kuangalia video hii hapa chini
ULIKOSA HII YA UMRI CHINI YA 18 KUOLEWA KUPINGWA, MAHAKAMA IMETOA MAAMUZI, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI