Matt Damon anarudi tena kwenye cinema na itakua ni July 29 kuanzia Marekani akiwa na movie nyingine ya Jason Bourne ikiwa ni chapter nyingine ya Universal Pictures, kama umezifatilia movie zake najua utakua unamuelewa… tazama Trailer yenyewe hapa kwenye hii video.
ULIIKOSA YA MUME KAENDA KAZINI WIFE KALETA MCHEPUKO? BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI