Mkali kutoka Bongoflevani ambaye ni CEO wa Sharobaro record Bob Junior amepiga stori na Ayo TV pamoja na millardayo.com kuhusiana na Ndoa yake ya kwanza, muda waliodumu, na sehemu aliyokuwepo mama mtoto wake na mtoto kwa sasa,
‘Wapo salama kabisa ila Mama mtoto wangu Mungu kambariki amempati mwanaume mwingine yaani ameshaolewa, mtoto wangu anaishi na mama yake kwa sababu umri aliokuwa nao ni mdogo sana,mimi sasa hivi nina mchumba lakini mipango ya ndoa sina kwa sasa‘ Bob Junior