Video ya Mayunga Please Don’t Go Away aliyomshirikisha staa wa marekani Akon baada ya kupitishwa kuchezwa kwenye kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa, bado imeendelea kufanya vizuri mpaka kupewa nafasi ya kuchezwa kama #SmashHit July 21, 2016 kwenye kituo hicho.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka zikionesha video hiyo ikichezwa kama #SmashHit
ULIIKOSA HII YA MAYUNGA KUELEZA TOFAUTI YA NYUMBA YA AKON NA ZA BONGO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA