Baada ya Rais John Magufuli kutoa ahadi ya kuhamia makao makuu ya nchi Dodoma, leo July 29 2016 wakati akizungumza na wananchi wa Manyoni mkoani Singida amesisitiza nia yake hiyo na ameeleza kuhusu majengo ya serikali yaliyopo Dar es salaam ambapo amesema majengo hayo yatapigwa mnada ili fedha zitakazopatikana zikajenge majengo ya Serikali Dodoma.
Rais Magufuli amesema…….>>>nitayatangaza kwenye tenda yatananunuliwa na watu watakaotaka kufanya Hotel, fedha zile nitazileta Dodoma kwa ajili ya kujenga majengo ya Serikali’
ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI KUHUSU MADAI YA KUZUIA SHUGHULI ZA KISIASA ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI