Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo April 24 2016 aliwasili Tanzania akitokea Uganda alipokwenda kwenye mkutano wa majadiliano ya bomba la mafuta lipite wapi kati ya Tanzania au Kenya na bandari ya Tanga ikafanikiwa kupita na kukubaliwa kuwa bomba la mafuta hilo litaelekea bandari ya Tanga.
Hivi karibuni viongozi wa Tanzania na Uganda walikutana na kujadili bomba hilo litaitwaje kwa ajili ya kufahamika zaidi na Waziri wa nishati na madini, Sospeter Muhongo alihudhuria kikao hicho, hapa amebainisha jina la bomba hilo………..
>>>’ni la nchi mbili la Uganda na Tanzania kwenye kikao chetu kule Uganda tulilipatia jina linaitwa ‘The East African crude oil high plant’ ndio jina lake‘
ULIKOSA SABABU ZA BANDARI YA TANGA KUTEULIWA KUTUMIWA NA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI