Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 17 2016 ni hii kutoka gazeti la MTANZANIA yenye kichwa cha habari ‘Dodoma yatajwa kinara viashiria’
#MTANZANIA Dodoma imetajwa kuwa na viashiria vya juu ktk maambukizi ya UKIMWI ikilinganishwa na mikoa mingine pic.twitter.com/3Xy7preBCt
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
Mkoa wa Dodoma umetajwa kuwa na viashiria vya juu katika maambukizi ya UKIMWI ikilinganishwa na mikoa mingine. Hali hiyo imetokana na kuwepo kwa vitu kadhaa vinavyowakutanisha vijana vikiwamo vyuo na sehemu za starehe.
Akizungumza na Gazeti la Mtzanzania, mratibu wa programu za kanda za Afrika, Renatus Kihongo alisema utafiti uliofanywa mwaka 2012 unaonesha vijana wengi katika manispaa ya Dodoma wanatumia muda mwingi kwenye starehe jambo ambalo ni linatishia uwepo wa maambukizi ya ugonjwa huo.
Utafiti huo ulifanywa na Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania ‘TACAIDS’ viashiria vya maambukizi ya UKIMWI vipo juu kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 ambapo wanafunzi wa vyuo vikuu ndio wanaonekana kuwepo katika viashiria hivyo.
Kihongo alisema mkoa wa Dodoma kitaifa upo katika nafasi ya 22 kwa kuwa na maambukizi ya UKIMWI……..>>>’Mara nyingi sehemu yoyote sehemu yoyote yenye maendeleo inakwenda sambamba na viashiria vya maambukizi ya UKIMWI kutokana na kuwepo na muingiliano mkubwa wa watu ambao baadaye hujenga uhusiano’
Source: MTANZANIA
Unaweza kupitia habari nyingine kwenye magazeti ya Tanzania leo August 18 2016
#MWANANCHI Lubuva asisitiza kuwa kikatiba NEC ni huru na hajawahi kupewa maelekezo na Rais wakati wa uchaguzi mkuu pic.twitter.com/hhkfaiOnpS
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI Vyuo vikuu 31 vimegundulika kuwa na wanafunzi 'hewa' 2,192 ambao wamelipwa bil 3.8 pic.twitter.com/yNUmbwQjQ1
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI Lissu ambaye ni wakili wa Bulaya, apangua maombi ya wananchi wanne wanaopinga matokeo ya ubunge wa Bulaya pic.twitter.com/bcGYvNpyFB
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI Tanzania imekuwa nchi ya kwanza bora duniani kati ya 10 zitakazotembelewa na watalii mwaka huu pic.twitter.com/cnMf9GtA8X
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI NEC imekamilisha mchakato wa kupata kiwanja kwa ajili ya kujenga ofisi zake Dodoma pic.twitter.com/Q8PKr8ZwZs
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI KCMC yalalama kuwalipia wagonjwa, mwaka jana pekee imetumia mil 306 wagonjwa wenye msamaha wa matibabu pic.twitter.com/FsI4s3lLR7
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MWANANCHI Serikali kuzuia uingizaji wa saruji kutoka nje baada ya uzalishaji wa ndani kutosheleza mahitaji pic.twitter.com/ttjnuj6Uz6
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#NIPASHE Wakuu shule 123 K'ndoni, Arusha wabainika kuchomeka wanafunzi hewa 7,800 fedha za elimu bure pic.twitter.com/kniqweD9FL
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#NIPASHE Baada ya kina Joti kuhojiwa na kuachiwa kwa dhamana kosa la kuvaa sare za polisi sasa Masanja anatafutwa pic.twitter.com/n1CLfoGQNN
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#NIPASHE TCRA imetangaza kuwa yeyote atakayebainika ametengeneza akaunti taarifa ambazo siyo zake mtandaoni atakiona pic.twitter.com/Kfgyfci03Y

#NIPASHE TANESCO imefanya ukaguzi mikoa 13 na imebaini kuwa Arusha kinara wizi wa umeme ikifuatiwa na Mwanza, Mbeya pic.twitter.com/7Jmd9JbxxR
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#NIPASHE PAC yamwagiza katibu wa Wizara ya viwanda kuwasilisha taarifa ya upotevu wa gari la Serikali pic.twitter.com/QvUAhL3k0N
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#HabariLEO Kaimu mkurugenzi TanzaniteOne avuliwa madaraka kwa tuhuma za kuwanyanyasa wafanyakazi wa kampuni hiyo pic.twitter.com/4aNDKvOQtv
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#HabariLEO Kiwanda cha kutengeneza vifaa vya zimamoto chazinduliwa kitasaidia kutunza mamilioni ya kuagiza vifaa nje pic.twitter.com/NcY5Qic8NI
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MTANZANIA Taasisi ya tiba ya moyo ya Jakaya Kikwete inakabiliwa na upungufu wa madaktari kwa kiwango cha 50% pic.twitter.com/zirit2wTA7
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#MTANZANIA Zaidi ya mil 190 za ulipaji fidia Mbarali, Mbeya zinadaiwa kutafunwa na watendaji wa halmashauri hiyo pic.twitter.com/CUvQ97xM0U
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
#JamboLEO Wakuu wa shule Arusha watakiwa kuajiri kampuni za ulinzi kwa ajili ya kulinda shule badala ya wazee pic.twitter.com/HwpmFK4czD
— millardayo (@millardayo) August 18, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV AUGUST 18 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI