Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 6.2 katika vipimo vya Richter limetikisa eneo la Umbria katikati mwa Italia na kufukia watu chini ya vifusi.
Taasisi ya Marekani inayohusika na matetemeko ya ardhi USGS imesema tetemeko hilo lilitokea mwendo wa saa tisa na dakika thelathini na sita usiku saa za Italia (01:36 GMT), 76 km (maili 47) kusini mashariki mwa mji wa Perugia, katika kina cha 10km (maili sita) chini ya ardhi.
Imeripotiwa kuwa tetemeko lilisikika katika miji ya mbali kama vile Roma na Italia. Mji R wa Roma, baadhi ya majumba yalitikisika kwa sekunde 20. Takribani watu 20 wameripotiwa kufariki kwenye tetemeko hilo.
ULIKOSA ENEO WALIPOUAWA ASKARI POLISI WANNE MBANDE JIJINI DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI