September 13 2016 Serikali imeliongelea bungeni Dodoma tukio la tetemeko la tetemeko la ardhi ambapo Waziri wa nchi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa – TAMISEMI George Simbachawene amezungumza kwaniaba ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa.
Leo September 13 2016 Serikali imeliongelea tukio hilo bungeni Dodoma ambapo Waziri wa nchi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa – TAMISEMI George Simbachawene amezungumza kwaniaba ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa.
Waziri Simbachawene amesema…>>>’September 10 2016 majira ya saa 9 alasiri mkoa wa Kagera ulipatwa tetemeko la ardhi lenye ukubwa ambalo limesababisha maafa makubwa kwa wakazi wa maeneo hayo‘
‘Idadi ya vifo vilivyoripotiwa katika mkoa huo hadi sasa ni 17, majeruhi 252 ambapo nyumba za makazi zilizoanguka ni 840 na nyumba zenye nyufa ni 1264‘ –Waziri Simbachawene
Unaweza kumsikiliza Waziri Simbachawene kwenye hii video hapa chini..
ULIMIS FAMILIA ZILIVYOLALA NJE BUKOBA KUHOFIA TETEMEKO LA ARDHI KURUDI