Mrembo kutoka Bongoflevani Naj ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mkali anayemiliki mdundo wa ‘Nisamehe’ Baraka the Prince, Leo October 15 anazichukua headlines baada ya kuelezea exclusive baada ya kwenda nyumbani kwa mpenzi wake na maneno waliyoongea na mama mkwe wake.
‘Unajua Idea ya kwenda kwa kina Baraka aliitoa Baraka mwenyewe, nilivyosikia ananiambia vile nilijisikia raha sana, nimekaa kama siku nne Mwanza na sikutegemea jinsi walivyonipokea maana nilijua wataniona mimi ni culture za kizungu sana‘>>>Naj
‘Tumeongea mambo mengi sana na mama yake baraka vingine ni siri yangu lakini vingine ni kuhusu vyakula anavyopenda baraka na ambavyo avipendelei, pia aliniambia kuwa baraka huwa hapendi kula nyama‘ Naj
ULIMISS HII YA YCEE KUTAJA WASANII KUTOKA BONGOFLEVANI ANAOTAMANI KUFANYA NAO COLLABO ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…