Imenifikia listi ya miji ambayo kwa mwaka huu 2016 imepata watalii wengi zaidi, nimeona sio mbaya kushare na wewe. Global Destinations cities index imetoa ripoti ya miji 132 inayoongoza kwa kupata wageni wengi kwa mwaka 2016 ambapo wametumia kipimo cha namba ya jumla ya watalii wanaoingia mjini ndani ya siku.
Hapa nimekusogezea listi ya miji 20 kama ifuatavyo
20) Prague, Czech Republic -Wageni milioni 5.81 kutoka mataifa mengine
19) Shanghai, China – Wageni milioni 6.12
18) Vienna, Austria – Wageni milioni 6.69
17) Osaka, Japan -Wageni milioni 7.02
16) Rome, Italy -Wageni milioni 7.12
15) Taipei, Taiwan -Wageni milioni 7.5
14) Milan, Italy -Wageni milioni 7.65
13) Amsterdam, Netherlands -Wageni milioni 8
12) Barcelona, Spain – Wageni milioni 8.20
11) Hong Kong, China – Wageni milioni 8.37
10) Seoul, South Korea – Wageni milioni 10.20
9) Tokyo, Japan -Wageni milioni 11.70
8) Istanbul, Turkey – Wageni milioni 11.95
7) Kuala Lumpur, Malaysia -Wageni milioni 12.02
6) Singapore – Wageni milioni 12.11
5) New York City, USA – Wageni milioni 12.75
4) Dubai, United Arab Emirates -Wageni milioni 15.27
3) Paris, France -Wageni milioni 18.03
2) London, England – Wageni milioni 19.88
1) Bangkok, Thailand – Wageni milioni 21.47
KAMA ULIMISS ALICHOKISEMA MATONYA ALIPOACHIA NGOMA MPYA BAADA YA KIMYA KIREFU KWENYE GAME UNAWEZA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI>>>