Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE Serikali imetoa notisi ya kufutwa kwa shamba la Sumaye lililopo Mabwepande baada ya kutoendelezwa kwa muda mrefu pic.twitter.com/niF7UHjQmr
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE Wakati RC Makonda akiwapa siku 14 wamachinga DSM kuondoka maeneo yasiyoruhusiwa baadhi wadai hawataondoka hata kwa kupigwa mabomu pic.twitter.com/kOM3r8zt2Q
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE Serikali kutumia trilioni 2.2 kukamilisha mradi wa kufunga minara ya mawasiliano nchi nzima pic.twitter.com/LMoIFFyRgX
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE PSPF yaelezwa kuwa na hali mbaya kifedha baada ya kupata hasara ya trilioni 11.15 kutokana na Serikali kuchelewa kulipa deni lake pic.twitter.com/lImNYWPDtM
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa wanawake wenye maambukizi ya VVU, ni kundi ambalo lipo hatarini zaidi kuugua saratani ya shingo ya kizazi pic.twitter.com/HUNVvMikx2
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa Taasisi mbalimbali za serikali zinadaiwa zaidi ya bil 125 na TANESCO kutokana na kutumia umeme bila kulipa bili pic.twitter.com/n8EdRUeJj3
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#NIPASHE Wanafunzi darasa la tano, sita Siha K'njaro waolewa huku wazazi wakichukua kiasi kidogo cha mahari kama sukari kuwaficha watuhumiwa pic.twitter.com/QnIlICNS0C
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MWANANCHI Maofisa wa polisi 10 kutiwa mbaroni Siha K'njaro kwa tuhuma za kuwaachia watuhumiwa wa shehena ya bangi pic.twitter.com/7r0jDNcEuP
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MWANANCHI Shule ya msingi Kwema ya Kahama yafanya maajabu matokeo darasa la saba, yatoa wanafunzi saba kati ya watahiniwa 10 bora kitaifa pic.twitter.com/64P9mmJATw
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa tatizo la mimba na kulawiti watoto Rombo ni gumu kwisha kutokana na wazazi kuwakataza watoto kusema ukweli pic.twitter.com/VJEiYfjwxD
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MWANANCHI Mganga wa jadi na mkwewe wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji ya mlemavu wa ngozi 'Albino' Kagera pic.twitter.com/DLt2Gz4e0O
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MWANANCHI Wabunge wameiagiza Serikali kuchukua hatua kuokoa mfuko wa PSPF kufa baada ya kupata nakisi ya trilioni 11.6 pic.twitter.com/jMah6DzFGi
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MTANZANIA Hakimu Kisutu aiambia TAKUKURU kuwa hataki ubabaishaji na kama hawataki kuendelea na kesi ya vigogo NIDA awaachie huru washtakiwa pic.twitter.com/qFTq9HsPyd
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MTANZANIA Nyumba na vibanda vya biashara zaidi ya 50 vimevunjwa ktk zoezi la bomoabomoa DSM linaloendelea kupisha ujenzi wa barabara pic.twitter.com/RPxznkFb7I
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MTANZANIA NECTA imetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika september 2016 huku shule binafsi zikipiga teke za serikali pic.twitter.com/z3tQJb72sQ
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MTANZANIA Lissu awa kivutio kesi dhidi ya Bulaya mahakama kuu Mwanza hasa kwa jinsi alivyokuwa akimhoji aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi pic.twitter.com/DsTbsqx1eW
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#JamboLEO Imeelezwa kuwa Serikali imepoteza zaidi ya bil 100 kutokana na uwepo wa wamachinga maeneo yasiyoruhusiwa ambao hawalipi kodi TRA pic.twitter.com/twuFZPzfSV
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#JamboLEO Kirusi cha homa ya ini kinaweza kuishi nje ya mwili siku 7 na kinaweza kusababisha maambukizi iwapo mtu hajapata chanjo ya kuzuia pic.twitter.com/HWRUojnsxn
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
#MTANZANIA Mtanzania Thomas Ulimwengu huenda akafanikisha ndoto zake za kucheza ulaya baada ya kutakiwa na klabu mbili Ubelgiji pic.twitter.com/Lv07xVqHVs
— millardayo (@millardayo) October 28, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 28 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI