Mradi wa bilioni 8.8 ambao ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ilitafuta wafadhili ili kupunguza tatizo la kina Mama wakati wa kujifungua unatarajiwa kukamilika kati ya February na March mwakani
Mradi huo wa ujenzi wa hospital ya kina mama Chanika Dar es salaam unafadhiliwa na ubalozi wa Korea ambapo December 6 2016, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alitembelea kujionea maendeleo ya mradi huo.
Hospitali hiyo inayotarajiwa kuwa na makazi ya wahudumu wa Hospitali hiyo ambapo jumla ya Familia 28 zinatarajiwa kuishi, pia itakuwa na chuo kwa ndani kwa ajili ya kutoa mafunzo ya uuguzi.
Nimekuwekea hapa Picha 11 na Video ikionyesha muonekano wa hospitali hiyo
ULIMISS HII AYO TV ILIVYOMDAKA RAYVANY WA WCB AIRPORT ALITOKA MAREKANI ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…