Tetemeko kubwa la ardhi limetokea katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia na imeripotiwa kusababisha vifo vya watu 92 na mamia ya watu wamebaki majeruhi na kusababisha uharibifu mkubwa. Tetemeko hilo la nguvu ya 6.4 kwenye vipimo vya Richter lilitokea karibu na mji wa Sigli katika kisiwa cha Sumatra.
Maafisa wanasema watu wengi wamefukiwa kwenye vifusi vya majumba yaliyoporomoka na mpaka sasa shughuli ya uokozi inaendelea
VIDEO: Mambo nane yaliyofanywa na serikali baada ya tetemeko la ardhi Bukoba, Bonyeza play hapa chini kutazama