Staa wa soka wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kushinda tuzo yake ya nne ya Ballon d’Or 2016, Ronaldo alikuwa akiwania tuzo hiyo huku mshindani wake mkuu akiwa ni Lionel Messi.
Kwa wengi ikitajwa tuzo hii hudhani imeanza miaka ya karibuni na hasa wakati ambao kuna mchuano mkali wa mastaa wa soka wawili, CR7 na Messi. Leo nimeitafuta list nzima ya wanasoka wengine waliowahi kushinda tuzo hii kuanzia mwaka 1956.
Kwenye list hii Ureno imechukua tuzo mara (6), Argentina (5), Italia (5), Brazil (5), Ukraine (1), Jamhuri ya Czech (2), Uingereza (5), Ufaransa (6), Ujerumani (7), Liberia (1), Bulgaria (1), Uholanzi (7), Urusi (3), Northen Irish (1), Hungary (1), Denmark (1), Scotland (1) na Hispania (3)
2016: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2015: Lionel Messi (Argentina)
2014: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2013: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2012: Lionel Messi (Argentina)
2011: Lionel Messi (Argentina)
2010: Lionel Messi (Argentina)
2009: Lionel Messi (Argentina)
2008: Cristiano Ronaldo (Ureno)
2006: Fabio Cannavaro (Italia)
2007: Kaka (Brazil)
2005: Ronaldinho (Brazil)
2004: Andrei Shevchenko (Ukraine)
2003: Pavel Nedved (Jamhuri ya Czech)
2002: Ronaldo (Brazil)
2001: Michael Owen (Uingereza)
2000: Luis Figo (Ureno)
1999: Rivaldo (Brazil)
1998: Zinedine Zidane (Ufaransa)
1997: Ronaldo (Brazil)
1996: Matthias Sammer (Ujerumani)
1995: George Weah (Liberia)
1994: Hristo Stoichkov (Burgaria)
1993: Roberto Baggio (Italia)
1992: Marco van Basten (Uholanzi)
1991: Jean-Pierre Papin (Ufaransa)
1990: Lothar Matthäus (Ujerumani)
1989: Marco van Basten (Uholanzi)
1988: Marco van Basten (Uholanzi)
1987: Ruud Gullit (Uholanzi)
1986: Igor Belanov (Urusi)
1985: Michel Platini (Ufaransa)
1984: Michel Platini (Ufaransa)
1983: Michel Platini (Ufaransa)
1982: Paolo Rossi (Italia)
1981: Karl-Heinz Rummenigge (Ujerumani)
1980: Karl-Heinz Rummenigge (Ujerumani)
1979: Kevin Keegan (Uingereza)
1978: Kevin Keegan (Uingereza)
1977: Alan Simonsen (Denmark)
1976: Franz Beckenbauer (Ujerumani)
1975: Oleg Blokhin (Urusi)
1974: Johan Cruyff (Uholanzi)
1973: Johan Cruyff (Uholanzi)
1972: Franz Beckenbauer (Ujerumani)
1971: Johan Cruyff (Uholanzi)
1970: Gerd Mueller (Ujerumani)
1969: Gianni Rivera (Italia)
1968: George Best (Northern Irish)
1967: Florian Albert (Hungary)
1966: Bobby Charlton (Uingereza)
1965: Eusebio (Ureno)
1964: Denis Law (Scotland)
1963: Lev Yashin (Urusi)
1962: Josef Masopust (Jamhuri ya Czech)
1961: Omar Sivori (Italia)
1960: Luis Suarez (Hispania)
1959: Alfredo Di Stefano (Hispania)
1958: Raymond Kopa (Ufaransa)
1957: Alfredo Di Stefano (Hispania)
1956: Stanley Matthews (Uingereza)
VIDEO: Ulikosa kutazama jinsi Ronaldo alivyokabidhiwa tuzo yake ya 4 ya Ballon d’Or 2016? Nimeshakuwekea unaweza kuitazama hapa chini.