Headlines za njia gani sahihi zitumike kwenye mchakato wa kumpata mshindi wa tuzo za wasanii kutoka Tanzania zimemfikia msanii Ambwene Yessaya a.k.a A.Y ambaye yeye katoa maoni yake kuhusu utaratibu mzuri utakaofaa kwenye upigaji kura kwenye tuzo mbalimbali za wasanii. Msanii A.Y amesema…….
>>>Asilimia 70 iende kwa mashabiki na asilimia 30 iwe kwa majaji unajua ukianza kusema watu waamue wenyewe wataamua kitu ambacho sio kizuri kwa sababu ya kushabikia’
>>>’Unajua kuna mambo mawili shabiki na mpenzi ni watu wawili tofauti, shabiki anaamua hata kitu kibaya yeye anaamua tu na mpenzi ni yule ambae anaonesha mapenzi ya dhati na kununua tape’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza A.Y akizungumzia mchakato wa kumpata mshindi wa tuzo
ULIIKOSA HII YA HARMONIZE ALIPONUNUA KIWANJA KWA AJILI YA KUJENGA NYUMBA BASI BONYEZA PLAY KUSIKILIZA HAPA