Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi CCM wakati huo huo akiwa ni mkuu wa wilaya ya Ubungo. Ayo TV na millardayo.com imempata Polepole na kumuuliza atafanyaje kuhudumia nafasi mbili za uongozi kwa wakati mmoja. Polepole amesema……..
‘Mimi nasubuiri Rais atakachoamua kwa sababu yeye ndio mamlaka ya uteuzi, itakavyompendeza nihudumie nafasi moja kwenye chama changu, nina furaha kubwa kuweka muda wangu wote kwenye nafasi hiyo, hata kwenye maelekezo yake amesisitiza nafasi moja, mtu mmoja, ila ni jambo lake yeye mwenyewe nitasubiri maelekezo kama itakavyokuwa’
CCM yahamia kwa Wanachama hewa, kadi za Jumuia kufutwa