Msimu wa sikukuu Vodacom wamewajali wateja wake kwa kuhakikisha wananogesha upendo kwa ndugu jamaa na marafiki ambapo promosheni mpya inayojulikana kama ‘Nogesha Upendo’ ambayo inawawezesha wateja wake kujishindia zawadi kila anapoweka muda wa maongezi ambapo anajishindia fedha taslimu, muda wa bure wa maongezi na MB za Internet katika msimu huu wa sikukuu.
Wiki hii Vodacom wamewapata washindi 50 na kila mmoja amejishindia shilingi milioni 1, wewe pia bado una nafasi nyingi za kushinda, unaweza kuwa mshindi wa siku na kujishindia shilingi laki moja ambapo kila siku washindi 26 wanapatikana pia unaweza kujishindia shilingi milioni 1 kupitia washindi wa wiki 50, unachotakiwa ni kuwa unajiunga na muda wa maongezi na line yako kuwa imesajiliwa.
VIDEO: Wakazi wa Dar na Iringa hii inakuhusu msimu huu wa sikukuu