Kumekua na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuachana kwa Jackline Wolper na Harmonize na hii ni baada ya Jackline Wolper kumpost Harmonize kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yaliyoashiria kuwa wawili hao hawawezi kuendelea na mahusiano yao.
AyoTV na Millardayo.com imempata Harmonize kwenye Exclusive Interview ili aweze kuongelea ishu hii na yeye amesema..
>>>’Mimi sijui, naona tu vitu vinavyoendelea ila mimi sijampost wala sijaongelea chochote popote pale so naona ni mageni kwangu mimi nadhani ni kitu kizuri kama mkimtafuta mwenyewe muhusika na kumuuliza mimi ukiniuliza unanionea’ –Harmonize
Video: Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto >>>