Usiku wa January 9 2017 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA lilifanya hafla ya utoaji wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA mjini Zurich Uswiss, tuzo hizo ambazo mwaka huu zimekuwa za tofauti kutokana na FIFA kufanya tuzo zao baada ya kutengana na French Football waandaaji wa Ballon d’Or.
Tuzo hizo zimefanyika lakini wengi walikuwa wakisubiri tuzo ya mchezaji bora wa dunia itakwenda kwa nani kati ya Lionel Messi, Antoine Griezmann na Cristiano Ronaldo, ila mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa FIFA ametangazwa kuwa Cristiano Ronaldo.
Full List ya washindi wa tuzo za FIFA 2016
Staa wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA kwa mwaka 2016. pic.twitter.com/Gy9WfC98jL
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Carli Lloyd ametangazwa kuwa mchezaji bora wa kike kwa mwaka 2016 pic.twitter.com/8Y3XMO8N0X
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Tuzo ya goli bora la FIFA 2016 imeenda kwa Mohd Faiz Subri pic.twitter.com/jACWAKL54F
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Kocha wa Leicester City ya England Claudio Ranieri ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwaka 2016. pic.twitter.com/nVP209r0R0
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
FIFA fair play award imetolewa kwa Atletico Nacional iliyoipa Ubingwa Chapecoense baada ya wachezaji wake kufariki ktk ajali ya ndege. pic.twitter.com/axoLDU1M63
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Mashabiki wa Liverpool na Borussia Dortmund wameshinda tuzo ya mashabiki bora wa mwaka 2016 wa FIFA #TheBestAwards2017 pic.twitter.com/PMnNKhE94U
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Silvia Neid ametangazwa kuwa kocha bora wa kike wa FIFA kwa mwaka 2016 #TheBestAwards2017 pic.twitter.com/XbcJh7ycrO
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Kikosi bora cha FIFA kwa mwaka 2016 #FIFAProAwards pic.twitter.com/Hp9BTERBNk
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
Staa wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa FIFA kwa mwaka 2016. pic.twitter.com/K3DtYZ4HWp
— millard ayo (@millardayo) January 9, 2017
VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4