February 11 2017 ilikua 40 ya Nillan ambaye ni mtoto wa pili wa Diamond Platnumz na Zari ambapo 40 yake imefanyika nyumbani kwao Madale Dar es salaam na AyoTV na millardayo.com zimekukusanyia kila kitu kwenye hizi video hapa chini
VIDEO: Zari akicheza vigoma kwenye 40 ya Nillan (+18) tazama hapa chini
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID NA IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo