Mtangazaji Millard Ayo alikaa kwenye studio yake na kumuhoji Mwigizaji wa Tanzania Irene Uwoya aliekubali kuelezea ishu zake mbalimbali kuhusu maisha.
Atafanyaje pale Mwanamke mwingine atapomchukuliwa Mwanaume wake? Wanaume watano wenye sura “mbaya” wanaomvutia? kasemaje kuhusu Wanaume wanaokwenda Saluni? Ukimtaka unatakiwa kufanyaje? hayo ni baadhi tu ya maswali aliyoyajibu Irene… mtazame kwenye hii video hapa chini
BONGO MOVIE: Mume kaenda kazini, Wife kaleta Mchepuko nyumbani…. tazama kwenye hii video hapa chini
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo