Katika kusaidia wanyama pori walio hatarini kutoweka jitihada nyingi zinafanywa katika hifadhi ya wanyamapori ya Mkomazi ambayo ipo Same mkoani Kilimanjaro kuhakikisha jamii hii ya wanyama inaendelea kuwepo. Imeelezwa kwenye hifadhi hiyo tembo mdogo anayetunzwa anakunywa maziwa kopo nne kila siku ambapo kopo moja ni sh 50,000. Bonyeza play hapa chini kuitazama
VIDEO: January Makamba afika bandari ya Tanga, kisiwa hatarini kutoweka, Bonyeza play hapa chini kuitazama