Jana March 30 2017 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya Kilombero dhidi ya Mbunge Peter Lijualikali baada ya kukubali kuwa hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na mapungufu.
Leo March 31 2017 Mbunge Lijualikali amekamilisha taratibu zote za kutoka ndani ya gereza na ameachiwa huru na kupokelewa na baadhi ya viongozi wa chama cha Demokrasia na maendeleo, ‘CHADEMA’ kama inavyoonekana kwenye video hii hapa chini.
VIDEO: Wakili kaeleza sababu za Mbunge Lijualikali kuachiwa huru, Bonyeza play hapa chini kutazama