Huenda watu wengi wakawa hawajui kuhusu sheria mbalimbali, wajibu na haki za msingi ambazo mtu anakuwa nazo hasa wakati anapofuatwa na Polisi wakati wa kumkamata au anapofikishwa kituo cha Polisi.
Leo April 11, 2017 Ayo TV na millardayo.com imekutana na Wakili wa kujitegemea na Mwanasheria wa Haki za Binadamu, Jebra Kambole ambapo moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu haki za raia na mamlaka waliyokuwa nayo Polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa ili kuwa na uhakika kama anayekamata ni Polisi au la.
Bonyeza play hapa chini kutazama ili kujua haki na wajibu wa raia pindi anapokamatwa na Polisi na mamlaka waliyonayo polisi wakati wa kumkamata mtuhumiwa.
VIDEO: Wakili Kambole amezungumzia kuhusu Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki. Bonyeza play kutazama.
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo